Habari za saa hizi wana JF ....Mimi ni kijana Wa miaka 26 nimemaliza diploma ya kozi tajwa hapo juu. Natafuta ajira (kazi) kwa sasa ila nashindwa kuelewa ni Makampuni gani yanayoajiri watu wa logistics sana naomba nijuzwe kwenye hili wadau
Sent using Samsung J7 Jamii Forums mobile app