Diploma in Health Information Science

Bora mtu aende akasomee ufundi veta kuliko hizi kozi zisizoeleweka...kama hawasikii waache
 
Best yangu amesomea maswala ya AC pale Jitegeemee now anapiga pesa kinoma na kamaliza mwaka jana tu.
 
Baada ya kusoma diploma
Ya health information science unaweza kujiendeleza Hadi ukawa MD???????????????????
 
Unachokiongea lazima uwe na uwakika nacho unajua nini maana ya health information science ? Unajua misingi ya kazi za health information scientist ? So usifananishe IT au Computer science candidate na Health information science ....hiii dunia ime change achana na Data clerker tunataka wahitimu wenye sifa na ujui kwenye sector ya afya atutaki kubahatisha ifatilie hii course vizur ndio uanze kufanya comparison serikali wanatengeneza vijana sio kwa ajili ya fashion show hii ni serious na wanaosoma wote HIS wako mikono salama ....akili iliyokufa haiachi kufikiria negative fikiria na positive ...Finally walio anzisha hii program waelewa na weledi katika health sector ...Njoeni msome acheni uzamani ...kujiajili kupo na kuajiliwa kupo kupitia hihi course muhimu kuwa creativity... kama una shida zaidi nifate PM
 
Huna unalojua kaa kimya too much theories ukikua utajua tunachokiongea.
 
Petroleum engineering & chemistry unakumbuka ilivyopewa promo ??? Sasa ziko WAP??

Kimsing kila program ilikuwa mpya
Na bado wanakazi unaweza nipa takwimu na ushahidi wa idadi IPI ya wahitimu wa izo course hawaku ajiriwa ...usipotoshe uma kujiajili kwa kila course kupo na kuajiliwa kupo
 
UDOM wanatoa degree ya hii course inaitwa health information system kikubwa ajira ndo mtihani yan usitegemee kwamba utakuja kufanya kazi hospitalini hiv we jiulize th ni hospital ngapi tz zina mifumo ya IT yan magu aache kuajili madaktae na wauguz aje kukuajri wewe mtunza kumbukumbu yan iko kitu hajipo tusidanganyane
 
Sasa unadhan dunia nzima wangesoma course izo unazo ziona wew zinakazi ...sasa dunia ingendelea kweli ....fungua akili wew kama MTU uliekamilika swala LA ajira ni mtihani wa kila eneo ...na swala LA kujiajili kwa course hii lipo ...so acha kupumbaza uma watu wanaendesha familia zao wa course hiii...Vijana tusome hii dunia mpya sio ya kulalili maisha ....sote tusome air condition nani ata tengeneza system na mipango mikakati ya afya ...sote tusome kuchongesha masofa nani ata weka weka takwimu na data za afya na mipango mikakati mpka serikali ikajiridhisha Huduma bora zinatolewa ...
 
Hiyo sio degree ya hiyo course ...degree yake bado aija anzishwa IPO diploma na ndio maana nasema acheni kupotosh uma kwa vitu msivyo vijua kiundani
 
Pia nikujuze Health information science sio watunza kumbu kumbu ...mtunza kumbukumbu ni health recorder so kama unahitaji Elimu zaid ya hii course soma Uzi wa mwanzo kabisa utaelewa acheni kukurupukia mambo
 
Wachangia mada wote kabla amjanza Ku compare hii course na course nyingne mbazozifikiria kichwani rejeni juu Uzi vizur sana ndio muanze kufananisha ...
 
Pia nikujuze Health information science sio watunza kumbu kumbu ...mtunza kumbukumbu ni health recorder so kama unahitaji Elimu zaid ya hii course soma Uzi wa mwanzo kabisa utaelewa acheni kukurupukia mambo

Mkiwa shule mnajazwa upepo sana.... wachangiaji waliotangulia washakueleza ukweli! na ndivyo ilivyo.
Kama MD & Nurses wapo mtaani wanahangaikia ajira.... wewe ni nani hasa ukimaliza hiyo course yako?
 
Namshauri hivi...kama hiyo fani ajira yake hawezi hata kujiajiri iwapo serikali ikakosa kumpa ajirabasi apige chini...
Ko unamshaurije mtu aliyechaguliwa katka iyo coz ya diploma in health information science?????????
 
Mkiwa shule mnajazwa upepo sana.... wachangiaji waliotangulia washakueleza ukweli! na ndivyo ilivyo.
Kama MD & Nurses wapo mtaani wanahangaikia ajira.... wewe ni nani hasa ukimaliza hiyo course yako?
Sasa wewe unashauri nini jamii watu waache kusoma MD au nurse kisa wengne wako mtaani. Kusoma kupo Mzee na watu wana soma wanatoboa wewe kaaga kuwaza utumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…