Enzi hizo watawala wa Kiingereza na Warumi, kiongozi wa dini ndiye alikuwa mkuu wa nchi. Sheria ya kanisa ndiyo ilikuwa sheria ya nchi. Dini rasmi ya nchi ni dini ya mtawala.
Msishangae kuona viongozi wa kikristu wamenyemaza na haya yote yanayotokea. Acha mengine, hata kubomolewa masikini wangelitoa neno. Wako kimya, wanaomba nchi iwe ya kikristo. Wengine angalau baadhi ya sect za dini ile zinakemea na kusahihisha kwa nia ya kujenga. Hawa na mimi kimya kabisa, kisa wa dini yetu. Kemea kwa kujenga, kurekebisha