:A S 465:Leo muda wa kuanzia saa nne usiku kuna mdahalo unaendelea Channel Ten,
kwa \title "SAKATA LA MADAKTARI, hoja iliyojengwa na ASKOFU
Gamanywa kuwa "wanajaribiwa na SHETANI" je madai haya yanaukweli kiasi gani?
au ndo yale yale ya MABEBERU kutumia dini kututawala na kutukandamiza,
je huyu askofu ana uhusiano gani na ""chama twawala" au ndo wametumika kueneza mgandaimizo wa CCM?
Je ni wakati wa madaktari kupewa nasaha na hawa viongozi???
kwa mtindo huu DANGANYIKA yenye maisha bora kwa kila mdanganyika litafikiwa??
Ndugu yangu wewe nadhani umepungukiwa na busara huko unakokwenda ni kubaya na umekata tamaa hii maneno sio mazuri sana unakwaza Imani na viongozi wa wenzako sasa Kama unadhani ni kitu kidogo nakuambia haya ndio mambo yatakayo chafua nchi yetu km tukiyaendeleza.huyu sio askofu ni shehhee, kwani hakuna askofu mwenye akili kama hizi by wanajf
Ndugu yangu wewe nadhani umepungukiwa na busara huko unakokwenda ni kubaya na umekata tamaa hii maneno sio mazuri sana unakwaza Imani na viongozi wa wenzako sasa Kama unadhani ni kitu kidogo nakuambia haya ndio mambo yatakayo chafua nchi yetu km tukiyaendeleza.
Fikiria watoto wetu wataishi vp siku za usoni kwa hakuna jinsi nchi hii wakabaki Muslim tu na hakuna jinsi nchi hii wakabaki Christians tu, kwahiyo nijukumu letu kupinga kwa nguvu zetu zote bila ya kujali tunapata maudhi na kukerwa kwa kiasi gani na baadhi ya wenzetu toka pande zote mbili Kwani kuna extremist pande zote.