Sio lazima, ila tatizo linakuwaga kwa ndugu na sio wahusika wakuu. Pia kama mmoja hatomfuata mwingine upande wake, watoto mpange kabisa inakuaje!!
Mnaweza nyie mkaona ni sawa ila mkakumbana na vigingi vya ndugu, wakawamwagia "sumu" mkachukiana wenyewe.