Dini inanikosesha mke


Achana nae akaolewe mke wa nne na mzee wa miaka 80, mzee akimuona kwa mbali wakati anatoka masjid anapeleka mahali shughuli imeisha hainaga kuimbishana, mnakumbuka kile kisa cha yule binti alotoka nduki anagoma kuolewa na mzee ilirushwa itv live ilikuwa balaa.
 
Kuhusu kubadili nilimgusua, akasema kwa mwanaume si vizur kumfuata mwakamke, ingawa nilitaka kumjaribu tuone msimami wake

Kwa maelezo yako hapo juu, ni wazi kuwa huyo dada anatafuta namna ya kukufanya ushtuke kistaarabu bila kuambiwa kuwa hutakiwi, inawezekana.
 
We ingia kwa dini yake ukifanikiwa unarudi ulikotoka
 
Mgegede tu alafu piga chini kubadili dini nidhambi kubwa kwa sababu ya mke
 
Kuhusu kubadili nilimgusua, akasema kwa mwanaume si vizur kumfuata mwakamke, ingawa nilitaka kumjaribu tuone msimami wake
Unamfuataje mwanamke sasa, nani kiongozi katika hiyi familia, ina maana kama wewe utamfuata katika hilo basi kila kitu itabidi umfuatishe hata akigongwa nje akikwambia usilalamike itabidi umfuate, na hata akikuletea watoto ambao si wako pia inabidi umfuate.......

Jifunze kuwa mtoto wa kiume..... Mwanamke haruhusiwi kukupangia bali kukushauri na kusimama bega kwa bega na wewe nyakati zote sio kukupelekesha atakuwa na dharau kako.........
 



Ukristo gani huo wakati hujui ni nini Biblia inaelekeza kuhusu Mkristo kuolewa? Badili tu uwe Muislam....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…