Dini hizi zilijitenga wapi

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,869
Reaction score
5,170
Ukristo na uislam zote hizi zinaitwa Abrahimic religions.
Najaribu kufikiri Adam,Hawa,Nuhu,Musa,Ayubu,Yusufu,
Isaka,Ismail,Daudi,Selemani.Issa bin Mariam (YESU)
Wote hawa wako pande zote za dini ya ukristo na uislam wametajwa labda tofauti ya lafidh kama jina likitajwa kizungu.
Je ni wapi hizi dini zilipoachana
 
Zilijitenga baada ya shetan kuleta din zake kuwahadaa watu,

Kasome chimbuko la uislamu jinsi mudy alivyopewa Quran mapangon miaka ya 600 BAADA YA YESU KUPAA
 
Mmisionari mkoloni mzungu na Mmisionari mkoloni mwarabu.

Hao 👆 pia ni sababu ya hizi dini kuachana kwa msimamo wa kiimani.

Unaweza kuona pia kwa msimamo, mkristo anakwambia Mungu anauwezo wa kujitetea unapokashifu dini yao ila muislamu anakwambia Mungu anatetewa kwa upanga/jambia ukikashifu dini yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…