Dili la Saed Ramovic kutua Yanga limefeli

kibaigwa finest

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2026
Posts
563
Reaction score
587
Mambo yalikuwa yalikuwa yanaenda ukingoni lakini Kuna kipengle wameshindwa kuelewana Haina ya YANGA na SAED RAMOVIC so deal limefeli
 
Bora yule kocha aliondoka na kelele sana na hakuwa na maajabu sana bora wahangaike na miloud
 
Kwani kuna sehemu yanga walitangaza kwamba wanamtaka huyo kocha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…