critic critical
New Member
- Apr 25, 2013
- 1
- 0
nashindwa kuwa na msichana naempenda kisa jina la baba yake pia uwezo wake mkubwa wa kifedha (clara), nlkuwa nae kwa miez 6 lakini kila nikipita nanyooshewa kidole kuwa mm mwanaume km binti, kuona hvo nkamuacha, nikawa na mschana(maria) ambye nlkuwa nae kwa muda mrefu na ambaye watu wananisapoti kuwa nae, tatzo lnazuka hatukai kuelewana now adays na huyu msichana.. natamani kurudi kwa yule ila tatizo watu wananiona km parasite kwake, though ni mzuri kuliko nlie nae, lakn watu wanansema vbaya..