FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,525
- 46,610
Unapotosha, eti hakuna 4pm. Halafu wote wanaopiga simu wanashindwa kusoma saa, eti 9pm hajui. Na hakuna 12 a.m
Unapotosha, eti hakuna 4pm. Halafu wote wanaopiga simu wanashindwa kusoma saa, eti 9pm hajui. Na hakuna 12 a.m
halafu unakuta hana mtotoYule jamaa anavyojiita eti baba mzazi alaf kuna watu wanapiga simu wanamuita baba mzazi, ndipo nilipojua kuwa kuna watanzania wana mtindio wa ubongo na wako maifisini wana sain mafaili ya wenye utindio wenzao
Sasa saa kumi jioni itakuwa ni Nini Kama hakuna 4 pm.Huyo ni mtangazaji uchwara mdogo wake na yule naninani uchwara.Unapotosha, eti hakuna 4pm. Halafu wote wanaopiga simu wanashindwa kusoma saa, eti 9pm hajui. Na hakuna 12 a.m
Unapotosha, eti hakuna 4pm. Halafu wote wanaopiga simu wanashindwa kusoma saa, eti 9pm hajui. Na hakuna 12 a.m

Shangaa sasaSasa saa kumi jioni itakuwa ni Nini Kama hakuna 4 pm.Huyo ni mtangazaji uchwara mdogo wake na yule naninani uchwara.