Kazi ipo hiki sasa cha nne naenda kununua
ina maana hakuna malipo ya mwezi?
Mbona hizo Channels zote ni Free to Air!? Halafu Decoder yenyewe licha ya bei kuwa ni Mzigo kama zile Dec za VHS Miaka ile, wakati siku hizi kuna vitu MINI-MPEG4 DVB-S2 na Unapata Channels hizo free na kwa Bei ndogo tu ya Decoda!???? Sema kwa vile wananchi wengi hatuna uelewa wa Hivi vitu ndio maana tunaletewa na kununua vitu visivyo na thaman kulingana na hela yetu.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
King'amuzi kipi nikikinunua kina channel yenye kuonesha wrestling? (WWE)
Hiyo ya bei du tutafika kweli
mkuu nimecheka sana, na mimi ZUKU wamenitibua wacha nikanunue cha pili, ingawa yote ni yaleyale tu.Kazi ipo hiki sasa cha nne naenda kununua