maju
Senior Member
- Oct 20, 2011
- 118
- 28
Nna king'amuzi cha dstv ila sipati local channel. Sielewi serikali ilimanisha kwamba sitakiwi kuona tv za kwetu ili niangalie za nje tuu au? Kama hivyo kweli huu si ndo ukoloni mamboleo wa kutubrain wash wa tz. Lini viongozi wetu wataweza kusimamia sera za nchi kwa maslahi yetu bila kuburuzwa na mabepari? Kuna uhusiano gani kupambana na umaskini na ving'amuzi? Huu ni wendawazimu.