lete rimoti
Senior Member
- Aug 24, 2021
- 159
- 202
Weka bidhaa zako na bei basi.Tupo Katika offer ya Mwalimu Nyerere. Punguzo lipo la products zetu.
Tuna lens hii inafaa kwa kupigia picha na Kurekodia video Katika umbali wa Hadi 12×.
Popote pale ulipo tunakuletea lens hii Hadi mlangoni tutakufundisha kutumia ndipo utalipa pesa View attachment 1975308
Sawa MkuuWeka bidhaa zako na bei basi.