digital camera inahitajika!!!

alohadm

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
360
Reaction score
157
mwenye digital camera anaeiuza aweke details na bei maana nahtaji na iwe na uwezo mzuri!!!
 
mwenye digital camera anaeiuza aweke details na bei maana nahtaji na iwe na uwezo mzuri!!!

Ipo samsung megapixels 16.2, ina wi-fi. Bdo ina valid warranty kutoka phone one Ltd-mlimani city.
Nipo dsm 0758 777 552.
Bei 210,000.TZS. ukinicheki tutaongea
Picha yake ndo hii:
 
mwenye digital camera anaeiuza aweke details na bei maana nahtaji na iwe na uwezo mzuri!!!
Wewe ndie uweke details kaka,la sivyo hiyo itakuwa ni fujo,muhitaji ndie anaweka mahitaji ya kitu anachokitaka.Kwa mfano muundo wa camera ,je ni P&S,Compact ,Dslr .Brand name,model n.k la sivyo tutajaza server za JF buure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…