upo wapi?Habari wakuu,
Nauza digital camera ndogo aina ya nikon coolpix s2800. Bado ni mpya na inapiga picha na kuchukua video vizuri.
Specifications zake kwa ufupi;
20.1 Megapixels
optical zoom 5x wide
ina HD move mode
usb ipo
Memory card 8GB
Imeambatana na cable yake ya kucharge pamoja camera bag.
Any serious buyer anichek pm
Bei laki na 40, maelewano yapo.