Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,359
- 2,787
Duuuu,una nini dada,kwanini uingie hukoWe are still mourning (kumlilia) , natamani kuishitaki hii kampuni ya Lamborghini which their car that was driving by Jota crashed and killed him/them.
Nahitaji msaada wa kufungua kesi.
Kwa hiyo unaona ni sawa tu?Duuuu,una nini dada,kwanini uingie huko
Once and for all,tambua huyo mtu kashafarikiKwa hiyo unaona ni sawa tu?
Kwa hiyo siku ukifia huko kwenye gari lako hairuhusiwi kufuatilia? Especially for VIP as yourself ?Once and for all,tambua huyo mtu kashafariki
Jota alifariki tarehe 3.7.2025 ikimaanisaha kua alifariki mwezi huu,Aliyekua mchezaji wa Liverpool ambaye alifariki kwa ajali ya Gari mwezi mmoja uliyopita nchini Spain Diego Jota na Ndugu yake Andrea Silva wameondolewa kwenye Games.
Distance from Africa to Europe isn't reasonableKwa hiyo siku ukifia huko kwenye gari lako hairuhusiwi kufuatilia? Especially for VIP as yourself ?
Msamehe mkuu bado ana huzuniJota alifariki tarehe 3.7.2025 ikimaanisaha kua alifariki mwezi huu,
Sasa wewe unaposema alifariki mwezi mmoja uliyopita,tukueleweje?
Kwenye mtandao je?Distance from Africa to Europe isn't reasonable
🤣🤣🤣 kalee wajukuuWe are still mourning (kumlilia) , natamani kuishitaki hii kampuni ya Lamborghini which their car that was driving by Jota crashed and killed him/them.
Nahitaji msaada wa kufungua kesi.
Kiingereza gani hiki mkuu.We are still mourning (kumlilia) , natamani kuishitaki hii kampuni ya Lamborghini which their car that was driving by Jota crashed and killed him/them.
Nahitaji msaada wa kufungua kesi.
Hio Lamborghini haijamuua Jota tu, hata yule "Paul Walker" icon wa Fast and Furious naye alifia kwenye car crash ya Lamborghini.We are still mourning (kumlilia) , natamani kuishitaki hii kampuni ya Lamborghini which their car that was driving by Jota crashed and killed him/them.
Nahitaji msaada wa kufungua kesi.
Mkuu,Paul Walker ajali yake ilikua ni Porsche Carrera GTHio Lamborghini haijamuua Jota tu, hata yule "Paul Walker" icon wa Fast and Furious naye alifia kwenye car crash ya Lamborghini.
Itabidi tukusanye mawazo tukapambane nao huko Instagram page yaoHio Lamborghini haijamuua Jota tu, hata yule "Paul Walker" icon wa Fast and Furious naye alifia kwenye car crash ya Lamborghini.
Wenye akili wameelewaKiingereza gani hiki mkuu.
Ahaa sawaWenye akili wameelewa
Acha bangi Ww dada na kujitia umuhimu kwenye maisha ya watu wasiokujua, hapa Tz Kuna ajali ngapi mbona hujawahi kufungua kesi afu leo hii useme huu upuuzi wako kwa watu wa Ulaya.We are still mourning (kumlilia) , natamani kuishitaki hii kampuni ya Lamborghini which their car that was driving by Jota crashed and killed him/them.
Nahitaji msaada wa kufungua kesi.