Didas Masabuli asubiri kuapishwa tu

Kuna mtu aliomba picha za Dar nikamwambia atulie sasa namwita aje huku!
 
Kama umepiga hela Zak subir jpil acha kudanganya watu cr ya kula anaikua mpigaj.
 
Labda aapishwe kuwatumikia wananchi wa mbagala ila sio jimbo letu ubungo. Mtindo wake wa kutoa watu toka mbagala waje kushangilia mikutano yake ubungo tumeshaushtukia. Ubungo tunazungusha mikono tuuu... kubenea ndo mpango.
 
Kwa hali hii sasa nakiri wazi ni ngumu magamba kutoka magogoni labda miaka 50 ijayo.
 
Akipita huyu natembea uchi tar 26 siku nzima
 
Jana gari 50 uda zimesomba watu kuwaleta uwanja wa TP kwa nn wanajidanganya nilishangaa sana na kuhakikisha ili angalia woote wana sare na angalia ukawa uone tofauti watu hawaletwi upendo humsukuma mtu kufanya bila shuruti ama kweli tumeona mengi.
 
Aapishwe kwa jimbo gani?Hilihili jimbo langu la Ubungo?
Muambie asahau na aanze kutumia dawa za pressure mapema maana tutakachomfanya hatoamini macho yake.

Mm pia niko jimbo la ubungo,masaburi hawezi kupata ubunge
 
Mzee wa Masaburi...........nimecheka sana nikikumbuka zile kauli zake za kwamba wabunge wa Dar es salaam wanafikiria kwa kutumia MASABURI..........hivi ni huyu anategemea kweli apate kura toka kwa wanaubungo?! labda kuwe na jimbo lingine la ubungo na sio hili ninalolijua. huyu jamaa ana tabia za tofauti sana na binadamu
 
Masaburi hataweza, Muziki wa Kubenea ni mkubwa sana Ubungo..hata wenyewe wanalifahamau hilo
 
Aapishwe kwa jimbo gani?Hilihili jimbo langu la Ubungo?
Muambie asahau na aanze kutumia dawa za pressure mapema maana tutakachomfanya hatoamini macho yake.

dar kumbe tuta mchinja wote baada ya hapo tukutane ubungo plaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…