Diaspora mmechangisha kiasi gani?

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
8,705
Reaction score
19,281
Wakuu Aman iwe kwenu!!

Nataka kufahamu ndugu zetu waliopo nje ya nchi wametoa hela kiasa gani kwenye janga la tetemeko la ardhi!

Kwasababu wao wakipata majanga huko ndiyo watu wakwanza kuomba msaada kutoka huku nyumbani!

Diaspora tuambieni kwenye umoja wenu mmechangisha kiasi gani?

Mimi na familia yangu tumechangisha Milion 45!
 
Acha mbwembwe umechanga SAA ngapi mil 45, kuwa mkweli hata kama humu hatuonani wote.
 
Huu ni uchonganishi ambao ni uchochezi ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…