Diamond/white/black screen protector?

Battery low

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
315
Reaction score
27
Nimenunua tecnop5 nimeweka protector ya diamond ila nikikaa kwny jua inanipa shida mno kuona yan hadi niifumbe na mkono tena hapo ndo itakuwa kidogo afadhal,sasa je tatzo ni screen protector nliyoweka au ndo simu yenyewe na kama tatzo ni s.p je s.p gan itakuwa nzur kati ya hzo zlizobaki?
 

mkuu sikunasehem ya kuongezea mwanga ??
jaribu kuongeza mwanga uone kama tatizo bado litakuwepo??
 

Weka white protector ndo nzuri.
 

Tumia protector isiyo na urembo wowote (CLEAR TYPE) . Pia kwenye brightness weka AUTO.
 
hapo kuna unafiki gani kama unaelewa mbona hujatoa msaada sasa?


Usijifanye huelewi !
Tumia hiyo hiyo akili ndogo uliyonayo !

Ina mana matatizo ya Nokia yanahitaji wadau wa Nokia na ya Samsung yanahitaji Wadau wa samsung ?

Ungepita tu kama hukuwa na chakuchangia !
Hii ni Tech & Gadgets mtu yeyote anaweza kuchangia !

Na sio kila anaechangia ni mdau wa kitu hicho !
Sasa kwa akili yako ndogo hiyo ! Hilo tatizo linahitaji wadau wa Tecno ? (jijibu mwenyewe)

OVER !
.sikujibu tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…