Sipati picha kama huu wimbo wa shikorobo angeuimba diamond nahisi ungekua wimbo wa taifa maana kwa hadhi ya shetta na hadhi ya wimbo ulipotakiwa kufika bado sana maana wimbo ni mkali sanaaa
Mwanamke ili umuite malaya au kahaba inabidi naww uwe umepita na sio kwa kuskia tu kwa watu, km kahaba naww nenda kale mzigo ili uthibishe na sio kumuita dada wa watu jina km hilo