F Flores Member Joined May 19, 2013 Posts 39 Reaction score 3 May 25, 2013 #1 Hivi jaman hawa DTB washaita watu kwenye interview maana kitambo toka watangaze nafasi za kazi karibu mwez na nusu toka deadline km kuna watu walishaitwa nijuzeni plz.
Hivi jaman hawa DTB washaita watu kwenye interview maana kitambo toka watangaze nafasi za kazi karibu mwez na nusu toka deadline km kuna watu walishaitwa nijuzeni plz.
O Old Venom Member Joined May 2, 2013 Posts 40 Reaction score 5 May 25, 2013 #2 Hawa jamaa hawaleweki kabisa,,,
B BAYEKA R Member Joined May 20, 2013 Posts 10 Reaction score 1 May 25, 2013 #3 Kwani walisema utaitwa
KUN JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 383 Reaction score 80 May 27, 2013 #4 Mpelekee rushwa mhindi utapata kazi
F Flores Member Joined May 19, 2013 Posts 39 Reaction score 3 May 28, 2013 Thread starter #5 jamani nlikua nataka kujua tu may b kuna watu wameitwa mbna mnakua na majibu mabaya km haujui si bora upite tuu
jamani nlikua nataka kujua tu may b kuna watu wameitwa mbna mnakua na majibu mabaya km haujui si bora upite tuu