Diamond Trust Bank!!!!

Mkuu Buchanagande kitaa siyo kabisa ndo maana tunakosa subra
 
Hilo nalo neno nahisi nishaanza kusahau
 
hhaaaa kuwa na subra ukakutane na aptitude test ya ajabu ila wapo kimya kitambo kias kwamba ukipigiwa cm unaweza kataa huku apply.
 
Mbona mnanichanganya, eleza tatizo usaidiwe siyo kusema "hawasomeki", KIVIPI?
 
Mbona mnanichanganya, eleza tatizo usaidiwe siyo kusema "hawasomeki", KIVIPI?

Mkuu una miaka mingapi?mbona statement inaeleweka,we unafikiri hapa watu tunaulizia nini?simply tunaulizia call for interview kama tayari acha ku-complicate mambo Mkuu!!!!
 
Hawa jamaa (wahindi) walikuwa wanazuga watu tu...
 
yaani kitambo kweli wapo kimnya, wadau vp na hawa TWIGA BANCORP Washaita watu kwenye interview?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…