Diamond platnumz unatuharibia mahusiano

Mkuu mm siigi mbona nimejiandaa na unawezo wangu kasimu tu ila diamond ndo anawafany wadada huku nao wawaze mandinga.
Hapo kwa wadada futa we andika umepata mwanamke mdangaji usijumlishe wote kingine siamini hii mada yako ni uwongo.
 
Hapo kwa wadada futa we andika umepata mwanamke mdangaji usijumlishe wote kingine siamini hii mada yako ni uwongo.
Mbona kigeugeu, "umepata mdangaji" na "mada yako ni uongo"
 
Unajishtukia2 mkuu kwani amekwambia anataka gariii
 
Mi sijawahi ona umuhimu wa birthday.Wazungu wanatumaliza hela hawa.daa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…