Hahaa kamtaja Anko shamte pekeeMbona hajamtaja baba Dangote
Halafu sijui kwa nini anamuita uncle wakati anajifunika shuka moja na mama yakeHahaa kamtaja Anko shamte pekee
Mkuu kama kweli alimsaidia sidhani kama alitegemea shukrani. Na mtu kukushukuru siyo lazima na nadhani kwenye wimbo kataja watu wachache. Hakumtaja Bob Jr, Papaa Misifa, na wengine. Angetaja wote wimbo ungejaaHellow JF,
Diamond Platnumz kwenye hili limenisikitisha sana hapa namuona Diamond alikosa utu nakushindwa kutoa fear kwa Ruge hatakama walikuja kuwa naugomvi lakn Ruge alikua na mchango mkubwa sana kwa Diamond hapa alipofika leo kituchochote chenye mafanikio mwanzo huwa mgumu sana ikumbukwe bila CLOUDS Media Diamond huwenda asingefika hapa alipofika sasa.
Mchango mkubwa wa Kaka yake Romy Jonson kufanya kazi CLOUDS katika kipindi Cha music na aliponza kupiga nyimbo ya diamond (NENDA KAMWAMBIE) nakupewa barak zote kutoka kwa Ruge kushiriki FIESTA hapa ndio mwanzo wa Safari yake ya music namafanikio yake kwa ujumla.
Nimepata msukumo wakuandika haya nilipopata wasaa wakuisikiliza wimbo mpya wa Diamond ft Koffi Olomide Tittle Waah!!! hakika sikusikia Ruge lakin Kusaga alisikia naweka nukta hapa.
Uzi tayari.
pale aliposema Joseph Kusaga, angemaliza tu na Ruge Mutahaba angekata mzizi wa fitina ingekaapoa sana.Mkuu kama kweli alimsaidia sidhani kama alitegemea shukrani. Na mtu kukushukuru siyo lazima na nadhani kwenye wimbo kataja watu wachache. Hakumtaja Bob Jr, Papaa Misifa, na wengine. Angetaja wote wimbo ungejaa
Anamtaja Kusaga boss wa Clouds and yet watu wanaona bifu la wasafi na clouds ni personal..
Sema it's fair to say IQ ya mleta mada bado ipo nichi sana