AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
Badilisha simu shad,hiyo P5 ya TECNO hauwezi sikia ladha ya hili HIROSHIMA
MKuu mimi ni msikilizaji wa mziki mzuri, playlist yangu imejaa nyimbo za Diamond tangu "Nenda kamwambie" hadi Nana" though sio fan wa Mondy lakini haiondoi uhalisia kimziki jamaa yupo juu, Tukiweka pembeni uteam, kama unafatilia vizur mziki wa sasa umechange sana, hasa ktk midundo, wasanii wamechange sababu nyimbo za sasa hata kama ni ujumbe lakin hakuna namna ni lazima uiweke tu kwenye aina fulan ya kia afro pop, Mfano Aiyola, Nana, hata msanii wangu Alikiba kama umemfatilia utaona kuna mabadiliko fulan makubwa kayafanya tangu mwana had sasa nagharamia, kutokana na kasi ya mziki wa kisasa africa nzima inamlazimu msanii atoe wimbo uliyochangamka fulan au beat lenye amsha na viuafro pop kwa mbali, ndiomana christian bella anakomalia sebene fulan hivi za amsha amsha.
Hebu kumbuka ile Nana ya Diamond ule wimbo ndiyo hadhi sasa ya Diamond, lakini sio hii, huu ni wimbo wa kujazia Album tu lakin sio hit song, sema sababu game ndio mmelishika nyie, sitoshangaa nitakaposikia top 10 mmeyhika no1 na tuzo kibao umebeba hahaha very interesting.
Lastly usifananishe kabisa hii kaswida ya mondy na #Nagharamia , utakuwa unajitafutia aibu Bure

Wewe tangu lini ukamtakia mema Diamond?!,huwezi sikia utamu au uzuri wa nyimbo hii kwa kuifananisha na nyimbo ya DAKU Kipindi cha MWEZI WA RAMADHANI wa KIBAKULI
Tunaojua muziki tunaelewa na wenye chuki pia tunawaelewa,
Ahsante mashabiki pia WANAFIKI,Maana bila nyinyi hasira zisingekuwepo kwenye kichwa kile cha Tandale
Labda kwa wale jamaa wa Nagharamia lakini kwa Chibu, akidondosha bomu kila kitu kinasimama!!! Views zaidi ya 150,000 chini ya saa 24 na comments zaidi ya 1000 inaonesha wazi kwamba majipu hayamzuii huyu jamaa!!!Sio wakati sahihi wa kutoa wimbo mpya hasa kipindi hiki cha utumbuzi wa majipu,watu bizeee na Braza Magu
Duh! Pamoja na kwamba umeandika mambo mengi bado I doubt ikiwa kweli unaufahamu muziki!!! Yaani upande mmoja ni kama unakiri kwamba ni wimbo wa ujumbe halafu wakati huo huo ulitarajia uwe ni disco version!!!! Pata angalau layman definition ya what's music:MKuu mimi ni msikilizaji wa mziki mzuri, playlist yangu imejaa nyimbo za Diamond tangu "Nenda kamwambie" hadi Nana" though sio fan wa Mondy lakini haiondoi uhalisia kimziki jamaa yupo juu, Tukiweka pembeni uteam, kama unafatilia vizur mziki wa sasa umechange sana, hasa ktk midundo, wasanii wamechange sababu nyimbo za sasa hata kama ni ujumbe lakin hakuna namna ni lazima uiweke tu kwenye aina fulan ya kia afro pop, Mfano Aiyola, Nana, hata msanii wangu Alikiba kama umemfatilia utaona kuna mabadiliko fulan makubwa kayafanya tangu mwana had sasa nagharamia, kutokana na kasi ya mziki wa kisasa africa nzima inamlazimu msanii atoe wimbo uliyochangamka fulan au beat lenye amsha na viuafro pop kwa mbali, ndiomana christian bella anakomalia sebene fulan hivi za amsha amsha.
Hebu kumbuka ile Nana ya Diamond ule wimbo ndiyo hadhi sasa ya Diamond, lakini sio hii, huu ni wimbo wa kujazia Album tu lakin sio hit song, sema sababu game ndio mmelishika nyie, sitoshangaa nitakaposikia top 10 mmeyhika no1 na tuzo kibao umebeba hahaha very interesting.
Lastly usifananishe kabisa hii kaswida ya mondy na #Nagharamia , utakuwa unajitafutia aibu Bure
Sasa unataka upande mmoja unatengeneza emotion na hapo hapo unataka watu waruke ruke!!!!!!an art of sound in time that expresses ideas and emotions in significant forms through the elements of rhythm, melody, harmony, and color.