Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
CHUKI ZIMEWAZIDI HADI WAMEKOSA HOJA,KILA SIKU WANAZUSHA JAMBO JIPYA NA HAWAMUONI AKISHUKA NDIO TABU HIYO WANAYOPATA.Nitoboeee.?
Baada ya nguli wa mziki wa Bongo fuleva kuvunja rekodi ya video yake "kutizamwa" mara nyingi zaidi ya video yoyote afrika kwa muda mfupi wadau wamejitokeza na kusema kuwa "eti" mkali huyo ananunua Viewers ili video zake zionekane zinatazamwa zaidi wakati kiuhalisia Video za Alikiba ndo zinapaswa kuwa na viewers wengi zaidi. Wadau hao pia wameongeza kuwa hata wale "folowaz" mamilion kule instagram amewanunua na wengi wao ni fake. "Kiukweli DIMONDI hana hadhi ya kutazamwa mara M1ndani ya siku nne,labda kama amenunua vyuwaz" alisema mkoja wa wakereketwa waliochukizwa na video hiyo kutizamwa zaidi.
Naombeni mniambie hivi ni kweli mtu anaweza kununua "vyuwaz" maana me mgeni katika maswala haya ya mitandao
Nitoboeee.?

Naona unatafuta kikiNitoboeee.?

Nisaidieni kwani, "Vyuwazi" ni nini? na wanapatikana wapi na mimi niende?Nitoboeee.?