Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
Ya UG umeweka hapo?
Yaani nishasahau hata ni tuzo ngapi hasa yupo nominated...
Upande wapili wakiwa followed na davido tu nayo ni breaking news
huyu wa upande wa pili mi nakubal kazi zake ila hajitumi, sasa ye alivyosikia jina lake likitajwa na davido yaani ye kakaa huku anasubiri kufatwa, kalala sana yani ilibidi amfate naija.. insta amekuwa followed ila yeye hataki kufollow