barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,874
Good memoryView attachment 347574 "Hapa ndipo palikuwa nyumbani kwetu Tandale nilipozaliwa kulelewa na kujifunzia Muziki hadi leo kufikia hapa.... napaHeshimu, Napapenda, napathamini na Daima hata niende wapi lazima nirudi maana nikiwa hapa nasikia faraja na amani ya moyo... Mwanzo palikuwa hivi #HomeSweetHome #Before
Soma kwa utaratibu hilo bandiko usikimbie kimbie, mwishoni ndo pamefichwa ulichouliza !!Hii habari ya lini ? Mbona kuna picha zinaonyesha hiyo nyumba imesha karabatiwa ?
Nani kakimbia kimbia ? Habari inasema Diamond katembelea Tandale na ku shoot video imeletwa leo ,halafu mwishoni kuna hash tag before, kosa langu lipi kuuliza hii habari ni ya lini ?Soma kwa utaratibu hilo bandiko usikimbie kimbie, mwishoni ndo pamefichwa ulichouliza !!
Ndio maana anabarikiwa.....Tatizo kijana Anahudumia kijiji!!!!! Watu wengi kama yupo kwenye Show! Nimeona hapo pakiwa pamekarabatiwa pazuri