@pdiddy,mpwa njoo ukemee pepo la kuyeyusha mimba kama lililotokea kwa penny na Wema!!Lishindweee tena wema anasema dai alimuulia watoto wake mapacha sasa maombi yazidi kwa kweliiii..
Ukweli anaujua Mwenyezi mungu kama anauweza wa kumpa mtu ujauzito au laa,na vile vile nimapema sana kusema kama hazai kwani umri wake bado na sidhani kama linamumiza kichwa hilo kwa sasa zaidi ya mziki......