Mkuu naona yanakuwa kweli Yale uliyoyasema kwenye thread ya "" nini kilichiko nyuma ya jina na avatar za JF membersKumbe mleta mada ni mwanaume wa Dar!
Wa mkoani unasoma stori za wanaume wa dar, hakuna tofauti hapoKumbe mleta mada ni mwanaume wa Dar!
Hahahaaakama bado
uzuni =huzuniKwa niaba ya wanaume wenzangu wa Dar naandika kwa uzuni na mashononeko hii habari yko kaka nasibu nikiwa n moja wa shabiki zko toka enzi zile za kamwambie nimekuwa c mtu wa kuingia wala kuzugumzia personal life yko ila km hili umenikwaza na sijui umewaza nn kutoboa pua embu sema sio kweli umebandika tu iyo herani jamii inakuangalia km fundisho kwa jinsi ulivyo hustle toka maisha magumu hadi ulipo now unaifundisha nn nani aliokupa ushauri utoboe pua zari, rommy jones au babu tale au yule dogo wa empire na mama yko je amekurusu.? hayo mambo waachie wazungu wakina chris brown nasibu sio kila kitu cha kuiga bhn
lilianzia Kwa panya roadhiv chimbuko la wanaume wa dar limeanzia waki kila sehemu ni mambo ya wanaume wa dar
mke wako huwa anakupa staili ya kanye west nini?Nafikiri ile steji ya Kanye West vs Amber Rose kashaipita pia
ππππππ sasa tutegemee nini kutoka kwa wnaume wa Dar zaidi ya hizo mambo?wanaume wenzangu wa Dar