elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,747 Nov 26, 2015 #21 basi sawa; wanafuata msemo wa hii si sabuni haikwishi
playboy babu JF-Expert Member Joined Nov 12, 2015 Posts 2,661 Reaction score 1,581 Nov 27, 2015 #22 shokoshugi said: Huyu mwandishi wa risasi anaandika kama KE lakini ana mind ya ME napenda kumfahamu jaman maana uandishi huo ni adimu sana Click to expand... Alama za kuuliza kama laki hivi
shokoshugi said: Huyu mwandishi wa risasi anaandika kama KE lakini ana mind ya ME napenda kumfahamu jaman maana uandishi huo ni adimu sana Click to expand... Alama za kuuliza kama laki hivi
NAJA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 475 Reaction score 167 Nov 27, 2015 #23 Huu udaku chanzo chake sio cha kuaminika
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 855 Nov 30, 2015 #24 Kuna wimbo unakaribia kutoka mwishoni mwa mwaka.
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,417 Reaction score 82,371 Nov 30, 2015 #25 kilimbamula said: Kuna wimbo unakaribia kutoka mwishoni mwa mwaka. Click to expand... Wewe ndio una akili.
kilimbamula said: Kuna wimbo unakaribia kutoka mwishoni mwa mwaka. Click to expand... Wewe ndio una akili.
G guasa JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 1,933 Reaction score 665 Dec 2, 2015 #26 Chanzo cha khabari SHIRUNGU.
glory josefu Member Joined Feb 20, 2016 Posts 60 Reaction score 14 Mar 9, 2016 #27 Bas diamond anapenda watu wazma
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,849 Reaction score 23,426 Mar 9, 2016 #28 glory josefu said: Bas diamond anapenda watu wazma Click to expand... Nani duniani anapenda watu wabovu?
glory josefu said: Bas diamond anapenda watu wazma Click to expand... Nani duniani anapenda watu wabovu?
Abastian JF-Expert Member Joined Sep 28, 2015 Posts 555 Reaction score 138 Mar 9, 2016 #29 PAGAN said: Nani duniani anapenda watu wabovu? Click to expand... Hahaaa umempa za uso!!!
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,353 Mar 14, 2016 #30 NAJA said: Huu udaku chanzo chake sio cha kuaminika Click to expand... Hii habari ni kweli asilimia 100 na long time wanachapana. .quick rocka kaamua tu kujinasisha ila kajala mtelezo tu kwa wakali wa town
NAJA said: Huu udaku chanzo chake sio cha kuaminika Click to expand... Hii habari ni kweli asilimia 100 na long time wanachapana. .quick rocka kaamua tu kujinasisha ila kajala mtelezo tu kwa wakali wa town