Sijasikia niambiee
Ana wekeza kwenye vitobo.....
Nimeshapata jibu but next time watch your fingers while typing... unajifanya una maneno machafu sana... kila mmoja anafahamu hayo!
Bibie yaishee basiii
asiyeto.mbwa au kuto.mba ni nani weweeee??? mkifanya ninyi sawa, akifanya yeye mwamshikia bango, kama hujui sex ni basic needs ya binadamu yoyote aliekamilika kama ilivyo chakula mavazi na malazi, and for your infor the more u do it, the more health you become. kwa hilo mwacheni kabisaaaaa.
mlianza ni freemason, mtadhani mnawajua,
mkaja anabeba unga, anapaa nao kwa ungo au?? mmeona yote hayo yamebuma
sasa mnakuja na kijana anadharau.siku zote hasidi hakosagi sababu, roho mbaya tuuuuu kama wakaanga sumu, ptuuuuuuuuu!! na mtashindwaaaa nawaambieni looooh waangalie na mi
acho yenu ilivyokuwa mekunduuuuu, sura zimewashupaaa kwa chuki, mpaka mkitabasamu mnaonekana kama mnalia, pyeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Kiba aliposema alimsaidia Diamond kurekodi pale kwa Bob junior haikua shida, ila Diamond kusema atamsaidia Kiba wafanye kolabo imekua nongwa! WABONGO WASAHAULIFU SANA!
NasDaz hapa kikubwa ni wivu tu na roho mbaya za kiswazi, mimi kuna mtu nilishawai kumuuliza kwani Diamond ana tatizo gani ananiambia eti anajifanya yupo juu...ananunulia magari hadi mademu zake sasa mtu unashindwa kuelewa hii chuki kubwa kiasi hiki inayotoka kwa mtu mzima kisa tu kamnunulia gari kipenzi chake?? Hapa ndio unapata picha ni namna gani maendeleo hayatakuja kutokea kwa ngozi nyeusi sababu watu wanatumia nguvu nyingi kurudishana nyuma badala ya kusapotiana.
Na ile X6 imewaumiza wengi sana, ila rizki haigawiwi na mtu baki ndio maana mtoto wa kitaa anakimbiza.
We wa wapi!!! Hili ni jukwaa huru... na kama unataka unachoandika usijibiwe basi usiandike humu... ukiandika JF lazima watu watakujibu! Narudia tena na sitakukumbusha kwa mara nyingine... kila mmoja anafahamu maneno machafu... watch your fingers... watu hatuogopi ban humu!Unayajua maneno machafu??? Au unataka tukuhusudu kwa utachoongea??? Niandike unavyotaka wewe ni king swati unachagua??? Nimeomba uje ujibu nlichoandika????? Umekuja mwenyewe hujaitwa umepata zako unalalama kama mtoto mdogo ambaye analilia kubadilishwa nepi... Kwanini usipite tu... Lakini ukasimama na kuanza kushabikia umejibiwa unalalama... Afu kumbuka wa tatu awezi vaa sita wewe..............!! Ko Mimi nishindwe kutype kisa?? Cjakuita ujibizane na Mimi ndugu
Kwahyo watu walimzomea kwasababu ana x6.???
Jide na range lake amewah kuzomewa.??
Kwahyo watu walimzomea kwasababu ana x6.???
Jide na range lake amewah kuzomewa.??
Mimi nafikiri mswahili wa kwanza ni Dimond. Mwanzo Nilikuwa namuona kijana ana busara lkn nimegundua kuwa busara inaweza kiwa corrupted na ulevi wa misifa ya kijinga.
The moment alipo tamka utumbo Kuwa atamsaidia Ali kiba na kuwa Mbeya hakuna hoteli ya hadhi Yake hapo ndipo nilipo jilaumu kwa kumuona dimond mwenye busara hapo awali
Unacho shindwa kuelewa ni kwamba watanzania pamoja na uswahili wao na umasikini wao lakin wanaamini kwenye kuheshimiana,hasa kwenye swala la mwenye nacho kumuheshimu na kutambua uwepo na umuhimu wa asiye nacho
Kitendo cha watanzania kumzomea Dimond kina onyesha dhahiri kuwa wao si waswahili(kulingana na definition yako ya uswahili),hawaja pendezwa na utoto na ufinyu wa fikira wa Dimond Kwa kumdharau Ali kiba
Pia kwa nyiongeza Naomba nikukumbushe kuwa Dimond bila Ali kiba asinge fanikiwa,Kiba ndiye aliye ruhusu Dimond arekodi nyimbo yake ya kwanza iliyo mtoa pale Sharobaro records.Dimond alipaswa kumuheshimu Ali kiba,kwanza alitakiwa awe ameomba msamaha kwa Ali kiba siku nyingi baada ya kuwa anaanzisha bifu za kitoto
Mwisho naomba nikutume Mwambie Dimond akasome historia ya Mr. Nice maana naona ndio anafuata nyayo zake sasa.Naye Alikuwa na dharau hizihizi kama za domo
Kwahyo watu walimzomea kwasababu ana x6.???
Jide na range lake amewah kuzomewa.??
We wa wapi!!! Hili ni jukwaa huru... na kama unataka unachoandika usijibiwe basi usiandike humu... ukiandika JF lazima watu watakujibu! Narudia tena na sitakukumbusha kwa mara nyingine... kila mmoja anafahamu maneno machafu... watch your fingers... watu hatuogopi ban humu!
Paula kilaki unawapa ukweli mtupu na roho zao mbaya.
Wametafuta kila sababu dogo anakandamiza mashuti tu kama Aguero sasa wamejaribu mbinu ya kupaki bus kama morinyo ila bado haisaidii anazidi kufanya yake.
kwanza hapa tunapozungumza unakuta Kiba yupo kwao Ilala anasherekea kuonewa huruma, wakati mwenzie unakuta yupo Europe anatafuta dili za pesa.
Mbona unazunguka zunguka tu... mara vocha, mara maji ya chupa, mara Masanja... vipi jombaa!!!?? Taja basi sababu zako za msingi zinazokufanya umchukie!
Mimi na wewe nani anatafuta ugomvi? Fuatilia thread zangu kama nimeshaongea maneno ya hovyo kwako? By the way, hivi unaamini you worth anything kwangu hadi useme najibishana na wewe wakati nina post zaidi ya 5000.... zote hizo zinakuhusu wewe! NInachosema, ukiandika JF lazima watu watakujibu kwa hiyo ni upumbavu na ujinga kudai eti najibishana na wewe wakati you worth a drop of infectious cockroach blood!