Usiwe na wasi wasi mkuu kwani hata zikidoda haziwezi haribika siyo nyanya zile.Nnahisi kwa hili serikali yetu isije ikawa imekurupuka tena wakashindwa kuuza hata hizo diamond...
Nna wasiwasi mkubwa kuwa zitatudodea
In the long run ni hasara kukaa nazo muda mrefu. Maana zitahitaji ulinzi na hiyo ni gharama nyingineUsiwe na wasi wasi mkuu kwani hata zikidoda haziwezi haribika siyo nyanya zile.
Umeongea pumba ambayo sijawahi kuisikia tokea nijiunge na hii forum na huenda tokea nipate akili.Nnahisi kwa hili serikali yetu isije ikawa imekurupuka tena wakashindwa kuuza hata hizo diamond...
Nna wasiwasi mkubwa kuwa zitatudodea
Will you Kenyans attend?
You are swarming inside kibera walls only stop farting publiclyOf course yes! Just let them state terms of engagement,method of payment and diamond conveyance mode and will swarm that auction house! 😀😀😀
Nnahisi wewe hauna akili timamu ndiyo maaana nilichoongea haujakielewa..Umeongea pumba ambayo sijawahi kuisikia tokea nijiunge na hii forum na huenda tokea nipate akili.
Naomba urudie, umesema diamonds zikatudodea (kukosa mnunuzi) au nimekosea maana ya kudoda?
You're welcome guys.Of course yes! Just let them state terms of engagement,method of payment and diamond conveyance mode and will swarm that auction house! 😀😀😀
Hehehe hivi unafikiri mpaka leo De Beers ndio wanaohusika na diamonds pekee dunia nzima hii? PoleNnahisi wewe hauna akili timamu ndiyo maaana nilichoongea haujakielewa..
Nimesema suala la biashara ya Diamond si kama biashara ya Karanga au vito vingine...
Fuatilia vizuri history ya Diamond pindi Nyerere alipotaka kufanya hichi ambacho serikali hii ambayo imeshindwa vyote inataka kujaribu kipi alikumbana nacho.
Laiti ungeijua vizuri biashara ya Diamond usingekurupuka na kucomment usichokijua... Unajua ni kampuni gani inayomiliki migodi yote ya Diamond duniani!?
Unajua why Russia amezuia kuipeleka Diamond yake sokoni kwa haraka japo anayo nyingi sana kuliko yetu?
Unajua ni nani aliyemzuia Russia kupeleka Diamond yake sokoni?
Ukijua yote haya hautaendelea na pumba zako za kukurupuka na kuongea usilolielewa.
Ushauri mzuri serikali ingeongea na wamiliki wa mgodi na kupeana terms zenye win win situation on both sides.
Ila kama itahamua kulazimisha mambo kama inavyotaka, trust me hili nalo litawashinda kama hayo mengine mengi yanavyowashinda na kuishia njiani
Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
Alrosa ndio muuzaji mkubwa ranked kwa uuzaji wa diamonds duniani na ni Russian sijui unavyosema kazuiwa kuuza diamond yake ni nani kakuambia?Nnahisi wewe hauna akili timamu ndiyo maaana nilichoongea haujakielewa..
Nimesema suala la biashara ya Diamond si kama biashara ya Karanga au vito vingine...
Fuatilia vizuri history ya Diamond pindi Nyerere alipotaka kufanya hichi ambacho serikali hii ambayo imeshindwa vyote inataka kujaribu kipi alikumbana nacho.
Laiti ungeijua vizuri biashara ya Diamond usingekurupuka na kucomment usichokijua... Unajua ni kampuni gani inayomiliki migodi yote ya Diamond duniani!?
Unajua why Russia amezuia kuipeleka Diamond yake sokoni kwa haraka japo anayo nyingi sana kuliko yetu?
Unajua ni nani aliyemzuia Russia kupeleka Diamond yake sokoni?
Ukijua yote haya hautaendelea na pumba zako za kukurupuka na kuongea usilolielewa.
Ushauri mzuri serikali ingeongea na wamiliki wa mgodi na kupeana terms zenye win win situation on both sides.
Ila kama itahamua kulazimisha mambo kama inavyotaka, trust me hili nalo litawashinda kama hayo mengine mengi yanavyowashinda na kuishia njiani
Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
You are swarming inside kibera walls only stop farting publicly
Okay but when githeri is undergoing diffusion find a bed and lie down, fail to do so is pollution here.Poor fellow,you never know who the people u engage online are. Be respectful!
Kwaiyo warusi awana akili ?? Uenda hiyo ndo akili sahii kama kuna unyonyaji duniani ni kufunga tu migodi yetu hapo bei itapanda kutokana na kuadimika Kwa madini baada ya Africa Kuchukua hatua sahihi .uenda sisi waafrika ndiyo tumesababisha warusi kushindwa kuuza madini yao kwa sababu sisi tumekubali kunyonywa bila faida mm nilitamani migodi yote ifungwe tutafute njia nyingine za kujikwamua hapa umaskini wetuNnahisi wewe hauna akili timamu ndiyo maaana nilichoongea haujakielewa..
Nimesema suala la biashara ya Diamond si kama biashara ya Karanga au vito vingine...
Fuatilia vizuri history ya Diamond pindi Nyerere alipotaka kufanya hichi ambacho serikali hii ambayo imeshindwa vyote inataka kujaribu kipi alikumbana nacho.
Laiti ungeijua vizuri biashara ya Diamond usingekurupuka na kucomment usichokijua... Unajua ni kampuni gani inayomiliki migodi yote ya Diamond duniani!?
Unajua why Russia amezuia kuipeleka Diamond yake sokoni kwa haraka japo anayo nyingi sana kuliko yetu?
Unajua ni nani aliyemzuia Russia kupeleka Diamond yake sokoni?
Ukijua yote haya hautaendelea na pumba zako za kukurupuka na kuongea usilolielewa.
Ushauri mzuri serikali ingeongea na wamiliki wa mgodi na kupeana terms zenye win win situation on both sides.
Ila kama itahamua kulazimisha mambo kama inavyotaka, trust me hili nalo litawashinda kama hayo mengine mengi yanavyowashinda na kuishia njiani
Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
IrrelevantIn the long run ni hasara kukaa nazo muda mrefu. Maana zitahitaji ulinzi na hiyo ni gharama nyingine