Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,485
- 8,667
Nawahi sitiUstaa ni kitu kikubwa sana, unapofanikiwa kuwa staa mambo mengi hubadilika katika maisha nawe unabidi ujifunze kubadilika kwa kika hatua unayopiga.
Diamond kijana wetu inabidi ujifunze kubadilika, Jifunze kutatua matatizo yako na mamlaka kama staa anaeheshimika, Jifunze kuzungumza kistaa, punguza kuongea sana, staa huongea na kufanya interview pale tu inapohitajika
Star huchagua Maneno ya kuzungumza si kila neno kinalokuja kichwani hutoka mdomoni, star huchunga ulimi wake.
Wasalam
Clouds digital ushapata 10,000 yako haya kalaleUstaa ni kitu kikubwa sana, unapofanikiwa kuwa staa mambo mengi hubadilika katika maisha nawe unabidi ujifunze kubadilika kwa kika hatua unayopiga.
Diamond kijana wetu inabidi ujifunze kubadilika, Jifunze kutatua matatizo yako na mamlaka kama staa anaeheshimika, Jifunze kuzungumza kistaa, punguza kuongea sana, staa huongea na kufanya interview pale tu inapohitajika
Star huchagua Maneno ya kuzungumza si kila neno kinalokuja kichwani hutoka mdomoni, star huchunga ulimi wake.
Wasalam
Clouds digital kachukue 5000 yako,unajitahidi kumshusha dogoAlipokuwa na zari hakuwa ropo ropo..vururu hivi ..sijui kwa ni ni??
Mashabiki wa aina yako ndiyo mnachangia sana kuwaharibu vijana Wetu, akishauriwa ukweli mnatafuta mchawi mmpe lawama, ilihali iko wazi kwa anaemfatilia Diamond wa Leo si sawa na wa miaka miwili nyuma. Waleo kajaa Kiburi na no Mjivuni was waziwazi japo hivyo vyote ni hulka na tabia yake ila walau zamani aliweza kuvicontrol machoni pa jamiiClouds digital kachukue 5000 yako,unajitahidi kumshusha dogo
Tatizo JF imevamiwa na mpaka ... mabox...Clouds digital kachukue 5000 yako,unajitahidi kumshusha dogo
Mkuu umeona eeh...Mashabiki wa aina yako ndiyo mnachangia sana kuwaharibu vijana Wetu, akishauriwa ukweli mnatafuta mchawi mmpe lawama, ilihali iko wazi kwa anaemfatilia Diamond wa Leo si sawa na wa miaka miwili nyuma. Waleo kajaa Kiburi na no Mjivuni was waziwazi japo hivyo vyote ni hulka na tabia yake ila walau zamani aliweza kuvicontrol machoni pa jamii
Hawezi badilika kwa sababu anazungukwa na watu wenye upeo uliofanana na yeye anadhani kwa vile anapesa basi anaweza fanya /sema lolote lile.Ustaa ni kitu kikubwa sana, unapofanikiwa kuwa staa mambo mengi hubadilika katika maisha nawe unabidi ujifunze kubadilika kwa kika hatua unayopiga.
Diamond kijana wetu inabidi ujifunze kubadilika, Jifunze kutatua matatizo yako na mamlaka kama staa anaeheshimika, Jifunze kuzungumza kistaa, punguza kuongea sana, staa huongea na kufanya interview pale tu inapohitajika
Star huchagua Maneno ya kuzungumza si kila neno kinalokuja kichwani hutoka mdomoni, star huchunga ulimi wake.
Wasalam
Ustaa ni kitu kikubwa sana, unapofanikiwa kuwa staa mambo mengi hubadilika katika maisha nawe unabidi ujifunze kubadilika kwa kika hatua unayopiga.
Diamond kijana wetu inabidi ujifunze kubadilika, Jifunze kutatua matatizo yako na mamlaka kama staa anaeheshimika, Jifunze kuzungumza kistaa, punguza kuongea sana, staa huongea na kufanya interview pale tu inapohitajika
Star huchagua Maneno ya kuzungumza si kila neno kinalokuja kichwani hutoka mdomoni, star huchunga ulimi wake.
Wasalam
Wewe. Umepata. NgapiClouds digital ushapata 10,000 yako haya kalale