Hahaaaaa uwiiii jamani leo mkorogo ni mbaya sana aisee mikononi kwenye magoti na kwenye kota huwa unagoma mana ngozi ngumu. Hafu unatakiwa ukiutumia usiwe una kaa juani ndo utapauka Mpaka ushangae.
Hahahahahaa Diva jamani leo nina raha haifai kusema...yaani basi tu.
Mkorogo wanapaka akina Vera Sidika bwana sio hawa kaukau wanaokaushwa na jua la bongo hii.

Aahahahh, mimi sipo kama wengi wanavyonifikiria, wachache tu ndo wananijua vzur mimi ni nani, nipo nchi gan, nafanya nn, Mtanzania au, ipo siku mtajua, mtashangaa sana yani
Mambi shost. Hiv mbona cku hizi ngololo cmuon na mama ake ka zamani, kipindi kile yuko na In my shuziii kila kona na mama ake mara happy deadday mara sjui zawadi ya mkoko! Lkn toka yuko na huyo international nguruba mama cjui kamdampo wapi@Diva beyonce

dimond hana hela ni sifa za kwenye media tu na hizo sifa zitamwaibisha sana tu wenye hela labda hao mameneja watatu hao ndio wanachukua hela za dadamond hao mameneja ni wanyonyaji balaa unaweza kuta ney wa mitego au rich mavoko wanamzidi hela dadamond