Ohooooo unaharibu sasa mpenzi.Husikii tunaambiwa tunajishaua wakati hakuna lolote?
Ukisema hivyo ndio utazidi kuunguza roho za wanafki...
Anyways, acha waungue tu kwani kitu gani bwana?
Hatuwezi kushindwa kujielezea jinsi tutakavyo kisa mafukara fulani.