Diamond atawamaliza mastaa

Haaaaaaaaaaaaa itakua photoshop hyo maana navyojua mimi kwa rangi hyo ya juu ya diamond basi miguu ingekuwa meupe kuliko hapo coz mda mwingi inafunikwa.
halafi katika picha kuna tofauti kubwa sana kati ya vipimo vya hipsi za lina halisi na lina wa picha,hao ni waluguru tu walikuwa matombo kwa picnic.
 
halafi katika picha kuna tofauti kubwa sana kati ya vipimo vya hipsi za lina halisi na lina wa picha,hao ni waluguru tu walikuwa matombo kwa picnic.
Hii picha haijafanyiwa editing bali ni really Maana nilimsikia huyo msanii aliye na Lina na Diamond akihojiwa na Fetty live yy akiwa Iringa alikubali kuwa ni Kweli but hakuna Mambo ya malove yanahappen Kwao na Diamond bali walienda kula goodtime tu na mpigapicha alifotoa kabla hawajajiandaa na kuwa iliwekwa BBM but imesambaa accidentally
REAL NO PHOTOSHOP
Kila kitu, ie Ugoko, wahusika na real
 

Hahahahahaha,ak ya nan ntakufa kwa kucheka,kumbe nawe umeyaona mapaja yao,hasa ya diamond,lol!
 

ebu katikati ya miguu ya recho afu niambie huo ugoko kweki wa bwana almasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…