Kumbe DIAMOND huwa akiona habari zimemzungumzia vibaya,komenti mbaya ,kashfa, yeye huwa anacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeka,kuliko watu wanavyochukulia siriazi huku kwenye mitandao.Salome - good melody ndani matusi matupu tena usiyohitaji kufikiri ili uyaelewe halafu Waziri anasifia