Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
Wapeeee waapeeee eeh vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri yao .....naipenda hii taarabu ya zamani zileee
Thread nzuri lakini imeletwa kimbea mbea na vidole juu sana...
Diamond yawezekana ana washauri kiasi ambao wana elimu
au, yeye mwenyewe ana vielement vya kuwa na kipaji maalum katika muziki!
Na awaida mambo huenda hivyo!
Ukikosa huku, unapatia kule kama utaweka bidii zenye ubunifu na kulijua soko lako!
Kuna rafiki yangu doctor alinichekesha siku moja eti elimu yangu kubwa mavyeti kibao ukuta mzima maisha yangu duni hata barnaba ananishinda kudadeki! Nikamwambia sasa doctor nawewe unataka kuimba!?
Hahahaa mkuu majungu hayo sasa!
Ama kweli life is how u make it!
Kuna mtoto wa Mbagala anajiita Diamond Platnumz, hana hata cheti cha ufundi mwashi cha VETA lkn mkwanja anaopiga hata Professor anasubiri!
Najaribu kumuwazia vp angekua na msingi mzuri wa lugha ya Kingereza, ungekuta kafanya kolabo hata na chris brown kwa jinsi anavyojituma huyu dogo, na angeshafanikiwa sana. Labda angekua anaishi kwenye villa, ila ndio hivyo tena Mungu hakupi vyote!
Sema ataikumbuka sana elimu siku akigeuka bubu!
N:B>Sisemi msisome eti wote muimbe!
Ww na masters yako ya Computer Science hata kiwanja, tena unsurveyed land huna, ndio mnaoishia kumponda dAiMonD wa watu badala ya ku-utilize elimu uliyoipata kwa maendeleo ya watu na ya kwako binafsi...
Dont hate!
Hali vipi mkuu! Kijana wetu kweli uliyetelekezewa ubungo bado unaye watu hawajakusumbua?
Sana sana akaze tu english course british council ili apate collabo zaidi ...kuna siku nlimsikia coke studio anamwaga ung'eng'e AMEJITAHIDI SANAA..
.
SASA computer science imeingiaje hapo?
.
Use your brain to change you're age buddy
.
Labda umenielewa vibaya mkuu, anyway sahau kuhusu 'namna' ambavyo uzi umeletwa, tuzingatie ujumbe uliomo.
Maisha siyo shule ila shule inakupa mwanya wakutafuta maisha nakama umepata maisha ukiwa na shule basi unaendeleza maisha kwa ubunifu wa ali ya juu na kitaalamu.
kuwa na elimu sio kipimo cha kuwa na pesa.. unaweza kutuambia wapi imeandikwa kwamba ukiwa na elimu ndo kuwa na pesa?
functions kuu za elimu hasa ni zipi?
wangapi wanajua lugha saaana hapa katika music industry bongo lakini bado wapo level ile ile kila siku?
think again and refresh!
Hivi mleta mada unafanya rehearsal ya kuimba taarabu au ni nini hiki?