Jamaa alipotoa Jeje ikafanya vizur , akatoa waah ikafunika , nikajua atakuja na comeback ya maana , aisee mshikaji Katoa nyimbo za kisenge nafkr tangu aanze mziki....Sio kila aina ya mziki inakufaa , sometyme nyota yako ilipo ni Bora ukashikilia hapo hapo kuliko kutanga tanga .....!!!! Labda Kwa vile anatafta BET