Nilikua napitia insta status ya Diamond nikakutana na hiyo kitu, sasa ndio najiuliza hapa anamaanisha ukonga au United Kingdom? View attachment 1864147

Kwa kuwa umeshamchafua kwa kumuhukumu jambo usilolijua, je upo tayari kuwajibika kumsafisha? Ndio maana kunakuwa na sheria za mitandao kwa watu kama nyie.