Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Ila mawingu haupigwi kbs nilikuwa sijui kuwa hata Prof Jizz naye kapigwa Ban.
Ila mawingu haupigwi kbs nilikuwa sijui kuwa hata Prof Jizz naye kapigwa Ban.
unayehukumu ni wewe MwenyeziMungu naomba unilinde......ata nikinywa maji wanasema nakunywa pombe..
kipi sijasikia?
Hata asiyeweza eti naye anabeza.Jay kabebwa na diamond,Chorus nzuri lkn verses za kizamani. jay kaishiwa amebaki kujitetea tuu ooh sina ngoma!.. Kama huna si uweke cheti tuone kama upo negative!