Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,953 Oct 1, 2016 #21 Slim5 said: Jina lako la kwanza kuna mtu anasumbua nalo jamii BUGURUNI. Sijui mnafahamiana? Click to expand... Haha hapana...
Slim5 said: Jina lako la kwanza kuna mtu anasumbua nalo jamii BUGURUNI. Sijui mnafahamiana? Click to expand... Haha hapana...
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,952 Reaction score 168,811 Oct 1, 2016 #22 Baba tee yupo vizuri
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,642 Oct 2, 2016 #23 Ayo ndio mambo,sio kila siku bifu !
T tinkibiruka mhaya JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 929 Reaction score 794 Oct 3, 2016 #24 screpa said: Ukirudia tena inabidi huyo Alikiba akulipe, usikubali kurudia bure Click to expand... Aya screpa sirudiii tenaaaa hahahahahahaha ila mond ushampigia kura lakini
screpa said: Ukirudia tena inabidi huyo Alikiba akulipe, usikubali kurudia bure Click to expand... Aya screpa sirudiii tenaaaa hahahahahahaha ila mond ushampigia kura lakini
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,921 Reaction score 15,981 Oct 3, 2016 #25 tinkibiruka mhaya said: Aya screpa sirudiii tenaaaa hahahahahahaha ila mond ushampigia kura lakini Click to expand... Naye anagombea?😱
tinkibiruka mhaya said: Aya screpa sirudiii tenaaaa hahahahahahaha ila mond ushampigia kura lakini Click to expand... Naye anagombea?😱
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,842 Oct 4, 2016 #26 Kama kweli amesema hivyo basi jamaa ana hekima sana na Akili.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,441 Reaction score 38,432 Oct 6, 2016 #27 scorpio me said: Haha hapana... Click to expand... Swadaqta.