Diamond amuandalia mwanaye Tiffah birthday ya kukata na shoka itakayofanyika Mlimani City

Kusamehe ni muhimu lkn asilazishwe yeye ndie anaejua shida alizopata na mama yake.Huyo baba angekua mtu wa kujirudi angerudi wkt kijana anasota leo anajianika kwenye TV kwa sbb kijana kapata.Wapo wanaume wanafanya haya hat leo inauma acha tu, mie namsapoti huyo mama na mwanae asilimia mia huyo baba hakujua alikua anaudhalilisha mgodi wa dhahabu.akubali kuisoma tu.
Mbona Dai alishasema KAMSAMEHE kitambo! Hanaga tena chuki naye, yalishamwishia mavi ya kale hayanuki!
 
Huyu Diamond akija kufilisika ndiyo atakumbuka hizo hela anazochezea
Kufilisika ni jambo la kufikirika tu kwa level aliofikia na kujitambua, unadhani anavyonunua nyumba kila akipata fursa ananunulia sifa tu au ili aonekane?
 
Back
Top Bottom