Diamond am-diss Bob Junior Live KTMA

umenifurahisha hapo kwa Ali k.kiukweli ALIKIBA ni kati ya wasaníi wachache walioweza kuhit mda mrefu pasipo kutegemea bifu/skendo.respect kwake..
 
kama Diamond ndo aligundua kipaji cha Omy dimpoz mbona hakumtoa yeye hadi kaja kutolewa na Ali k?
 
Tunaacha kuzungumzia ROMA mkatoli, tunajadili wabana pua hawana inshu bana. Kwanza d'mond hana sura ya uwamziki, anapendezea akiwa mpaka rang kucha za madu au muuza vyombo mtaani. Wabanapua wenyewe wali wa shekhe, kwishneeeeeeiiiiiiii.
 
anamtukuza kweli
Time yake kwanini nisimpe mashavu!taja takataka yeyote ya bongo flava anayeshine kama platinumz!!!juzi kadhihirisha umwamba wake mpaka katika vidudu mtoni!.....guess nani ndo mjanja wake katika uvaaji.....the man himself PHD!
 
kweli nimeamin habari za tajiri muulize masikini atakwambia kila kitu mpaka bei ya kiatu alichovaa.
 
Time yake kwanini nisimpe mashavu!taja takataka yeyote ya bongo flava anayeshine kama platinumz!!!juzi kadhihirisha umwamba wake mpaka katika vidudu mtoni!.....guess nani ndo mjanja wake katika uvaaji.....the man himself PHD!

Bibi cheka balaa...
 
Platinumz wamuache kwa sasa!next level huyu mnyama....sharo short chasis asilete za kumvimbia huyu mnyama diamond!hawako ligi moja!
Nimejitahidi kurudia rudia post hii lakini nimeshindwa kuelewa mnyama gani anayeongelewa hapa, na hata hiyo short chasis sijajuwa bado ni gari gani?......ni heri nirudi kwenye jukwaa langu muhafaka huku nimepotea njia.
 
Tunaacha kuzungumzia ROMA mkatoli, tunajadili wabana pua hawana inshu bana. Kwanza d'mond hana sura ya uwamziki, anapendezea akiwa mpaka rang kucha za madu au muuza vyombo mtaani. Wabanapua wenyewe wali wa shekhe, kwishneeeeeeiiiiiiii.

deejay nasmile LIKE your comment
 
Watoto wa kiume wanavaa suruali za kubana sijui ni hips au ni makalio kama huyo ommy d ana hips halafu anavaa vinguo vya kubana,sijui naye na huyo diamond ni wanauza mapaja au hips au ngongingo.upuuzi mtupu.
 
Mi ninajua "nai nai" Kama pinyin ya characters za kichina "奶奶" zikiwa na maana ya bibi mzaa baba kama nitakuwa sijakosea
 
huyu ommy dimpoz naye inabidi ashauriwe suruali za kuvaa!!mtu ana vitako halafu anagonga skin jeans
mie najua kuna vitako vya aina mbili kwa wanaume
vya kuvalia suruali na vya kufanana na dada zako kama warangi na wasomali,sasa cha dimpoz ni kipi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…