Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
HahahahahahahaNaam naam, Basi ule wimbo haukumpendeza machoni yule malaika mkuu, ndipo akaamuru kibaraka azimiwe mike maramoja
Panga-boi 26:4
Monde ushaambiwa, hapa kazi tu.
Sasa mheshimiwa sana alipokupa nafasi ya kuimba, alitegemea uimbe nyimbo kama za kina Mrisho Mpoto za kusifia maendeleo ya chama na serikali wewe ukaboronga na kuanza kuimba mapenzi.
Unamlete swaga hizo mzee wa hapa kazi tu?
Mzee alivyosikia swaga ambazo haziendani na alichokitegemea, akamkatisha Monde kuimba ghafla.
Siku nyingine Monde uwe unajipanga. Uwe na nyimbo za kutosha kuendana na matukio!
Mfalme alimaind kichini chini kuona kuwa zile swaga za kusifiana hazipo!
Take note!
Hahahaha hivi uko sayari ganiNaam naam, Basi ule wimbo haukumpendeza machoni yule malaika mkuu, ndipo akaamuru kibaraka azimiwe mike maramoja
Panga-boi 26:4
Hakuna sehemu Rais alitaka Daimond aimbe kusifia chama au serikali zaidi alitaka aimbe wimbo wake wa namber one maana Rais Magufuli anauzimia sana....ndio maana alipo imba alifurahia... na tunajua mnatafuta kumchonganisha Diamond lakini mmechelewaMonde ushaambiwa, hapa kazi tu.
Sasa mheshimiwa sana alipokupa nafasi ya kuimba, alitegemea uimbe nyimbo kama za kina Mrisho Mpoto za kusifia maendeleo ya chama na serikali wewe ukaboronga na kuanza kuimba mapenzi.
Unamletea swaga hizo mzee wa hapa kazi tu? Kiukweli, ulizingua sana tu!