Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Monde ushaambiwa, hapa kazi tu.
Sasa mheshimiwa sana alipokupa nafasi ya kuimba, alitegemea uimbe nyimbo kama za kina Mrisho Mpoto za kusifia maendeleo ya chama na serikali wewe ukaboronga na kuanza kuimba mapenzi.
Unamletea swaga hizo mzee wa hapa kazi tu? Kiukweli, ulizingua sana tu!
Mzee alivyosikia swaga ambazo haziendani na alichokitegemea, akamkatisha Monde kuimba ghafla.
Siku nyingine Monde uwe unajipanga. Uwe na nyimbo za kutosha kuendana na matukio!
Mfalme alimaind kichini chini kuona kuwa zile swaga za kusifiana hazipo!
Take note!