KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,031
- 40,496
samahani naomba uniite kwenye ulipoandika kukemee tabia ya wivu wa wananchi wakati wanafanya kampeni asipate tuzo na pia kujaribu toka kila kona asipae kimuziki bali ashuke. au hata kuwaomba wasanii wasapotiane.
hilo dole litawagusa wanaojua ni hawampendi na wana wivu.
wa jamii tena, miaada anayotoa uhauioni hata anayoanzisha sasa
we niambie wapi umemtetea nikasome kwa furaha yangu, maana hilo dogo maneno yake si utachoka kabisa ya mswahili huyu.
Sitawah kumpigia kura mpaka nakufa..sio yeye pekeake wasanii wote
Tunaposema kuwa msanii ni kioo cha jamii tunamaanisha kuwa msanii akiwa kama mwanafasihi ana jukumu la kuelimisha, kuonya na kufundisha....lakini vile vile kama msanii ataitumia vibaya taaluma yake basi ataipotosha jamii....
Leo hii tunashuhudia watoto wadogo wakikopi na kufatisha kuimba mashairi ya kipuuzi ya wasanii wapuuzi....ambayo hata kwa akili ndogo utagundua kuwa yanapotosha jamii baada ya kuelimisha.....refer msanii anaimba akisifia pombe na ngono....unadhani inaleta impact gani kwa jamiii....??
Mkuu mimi mwenyewe ni shabiki mzuri wa Diamond ila kwa hii picha amejishusha.
Msanii mkubwa kama yeye hawezi kukosa maadui, hivyo ni jukumu kujikotro lakini kwa hali hii amekosa ushauri.
Msanii anatokea kwenye jamii hilo ni la kwanza, ukimuona anabehave kama anavyobehave ujue ndivyo jamii yake ilivyo. Hii ndiyo maana halisi ya neno msanii ni kioo cha jamii (Reflection).
Wasanii wetu ni malaya, wana matusi na tabia kibao mbaya just like wanajamii wengine walivyo , wala msitake kumbebesha msanii umalaika kwamba ye anapaswa kufanya mazuri tu! Wala wasanii kuwa inspiration kwa young generation haiwapi wao mzigo wa kuwafundishia watoto wenu maadili mema.
Kwahiyo tujitahidi kila mmoja wetu alee mtoto wake katika maadili mema ili tutengeneze wanajamii wabaadae (wakiwemo wasanii) wenye maadili mema.
Huyu bwana mdogo ameonyesha upunguani wa hali ya juu sana....ameshindwa kujua maana ya yeye kuwa ni kioo cha jamii
Ameshindwa kujua kuwa nyuma yake kuna vijana wengi wanaotamani kuwa kama yeye katika tasnia ya muziki wa kubana pua....kwa picha hii anatoa funzo gani kwa wazazi ambao vijana wao wanaomba sapoti zao kuweza kuwa wanamuziki wa kimataifa hapo baadae.....bila shaka kwa picha hii hakuna mzazi atakayependa mwanaye awe kama huyo kijana....achilia mbali kuwa mwanamuziki.....
Hili ni tusi kwa Watanzania wote maana yeye ndiye anayetuwakilisha kimataifa....
Katika mazingira ya kiungwana anatakiwa aiombe radhi jamii ya watanzania....
KikulachoChako yaani kunakuaga na watu wanakua na mahaba kupitiliza nazan maana hawaoni kama jamaa kakosea
Umri huo hujui kidole cha kati kikibinuliwa kwa mtindo huo kina maanisha TUSI?
Sasa nazan umeingia nlipopakusudia kama kaona ni kosa alitakiwa yeye ndo aombe msamaha kwa rais kikwete anaemuaibisha na kwa wananchi kwa kutukana hadharani. Kwa mfano ukikutana na mtu ambae mama yako anamheshimu sana akifanya upuuz kitaani utajiskiaje
Haya mpwa nakutakia usiku mwema....ngoja nihamie kwenye siasa maana huku mnapaweza wenyewe
Usimtetee huyo mjinga...hivi hujaona kwenye mpira mtu akifanya hivyo anafungiwa..ni mshezi sana..hana adabu kabisa!
Bwana mdogo mbona unanivunjia heshima bila sababu ya msingi....bila shaka katika coment yangu sijakumention isipokuwa nimekemea tu kile ambacho amekifanya huyo kijana nikiwa kama muungwana....
Alafu sidhani kama kuna mahali nimekutukana au kumtukana mtu....heshima mbele kijana...
Na umemsaidia kumtolea gundu lako....
Ndio maana anang'aa mpaka sasa..
ndio maana hata kura sikupiga, niliadhimia hivyo tangu alipoonesha unafiki kwenye KTMA, ..
saiz kawa nominated tena category sita na 1 ya collabo ila kwq ujinga wake sitathubutu kumpigia kura, bora niache tu maana mtu anabebwa lakini habebeki
ndio maana hata kura sikupiga, niliadhimia hivyo tangu alipoonesha unafiki kwenye KTMA, ..
saiz kawa nominated tena category sita na 1 ya collabo ila kwq ujinga wake sitathubutu kumpigia kura, bora niache tu maana mtu anabebwa lakini habebeki
Kunimention hakuna tatizo mkuu.. hii ni forum hatuchat sms hapa kusema nimejipendekeza...
Ukiongea utumbo lazima ujibiwe kwa utumbo..
huyu kapotea sasa kisa hiyo tuzo moja? majanga akipata 6 kama kiba sia atachanganyikiwa huyu?
hahahaaa ila nyie mnasifa! Hahhahahah kama namuona huko alipo anavyosonya.