DIALLO ANATAKA AREJESHWE KWENYE UWAZIRI KI-BASHITEBASHITE.

de Plato

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
251
155
Nilisoma udaku alioandika waziri wa zamani,dkt.A.Diallo na kugundua kuwa anabembeleza kurudishwa kwenye baraza la mawaziri huku akiwa hana sifa,ndiyo maana mfalme yule hakumuona!.
Amelaumu sana upinzani wa Tanzania kuwa haujitambui;kama ndivyo hivyo,mbona alitumia pesa nyingi sana kuhonga wapiga kura na kufanya kila njama ili CCM ishinde MWANZA?Watanzania walitenda yao,CCM,NEC,na majeshi walitenda pia yao.
MWISHO:
UKABILA,UKANDA,UJINGA NA ULAFI WA FEDHA/MADARAKA vitatuua.
 
Kwa kweli ameonyesha udhaifu wake na ur DR wake nadhani madeni aliyokopa benki yanamchanganya huyu mzee wetu wa mwanza
 
Nilisoma udaku alioandika waziri wa zamani,dkt.A.Diallo na kugundua kuwa anabembeleza kurudishwa kwenye baraza la mawaziri huku akiwa hana sifa,ndiyo maana mfalme yule hakumuona!.
Amelaumu sana upinzani wa Tanzania kuwa haujitambui;kama ndivyo hivyo,mbona alitumia pesa nyingi sana kuhonga wapiga kura na kufanya kila njama ili CCM ishinde MWANZA?Watanzania walitenda yao,CCM,NEC,na majeshi walitenda pia yao.
MWISHO:
UKABILA,UKANDA,UJINGA NA ULAFI WA FEDHA/MADARAKA vitatuua.

hawa wanazijua bottons za kubonyeza kwa mkuu huyu,ni kurusha masifa mengi na kuponda upinzani na kuwa mnyenyekevu na pappet mzuri wa ku-play along vizuri tu, hata kama huna sifa hata za kujiongoza wewe mwenyewe, utarushiwa fupa
 
Back
Top Bottom