Jamani kwa wale tulio apply kwenye hiyo issue above kuna kimpya kingine baada ya online assessment majamaa wamekuwa kimya kweli na issue naskia inaanza februari 😛hone:

jamaa siku hizi wamakuwa kama na ubabaishaji. hata page yao facebook kuna watu wa kenya wanalalamika walifanya tangu mwaka jana lakin kimya. cha msingi usiwatemee sana. kama ipio ipo tu kaka